HUYU NDIYE RAPPER GENIOUZ MAARIFA BIGTHINKER MSANII ANAEKUJA KWA KASI

Kuna vipaji vingi saaana vilivyopo mtaani ambavyo vimekosa sapport ila watakapopata sapport majina yao hayataachwa tajwa katika midomo ya watu.Moja ya kipaji kilichopo mtaani kinachokuja kwa kasi zaidi ni huyu jamaa anayejulikana kama Maarifa Bigthinker.Kama jina lake lilivyo n msanii anaeandika ngoma zake kwa kutumia akili mingi saana.Moja ya ngoma iliyomtambulisha ni MELLI YA SUMU aliyofanya na jamaa anaeitwa Mgelu chini ya STIM RECS.

Hakuishia hapo pia aliachia ngoma nyingine inayoitwa Maarifa ya Maarifa moja ya ngoma iliyomfanya aanze kutajwa kwenye midomo ya watu kuwa ni upcoming superstar.Naweza nikasema tusikubali kukipoteza hichi kipaji tuonyeshe sapport kwake ili kesho na yeye aweze kufika pale anapotaka afike
Kupakua Meli ya SumuClick Here
Kupakua Maarifa ya MaarifaClick here

Comments