BLOUDER AACHIA COVER YA TRACK YAKE MPYA
Msanii Blouder MC aachia cover ya track yake mpya inayokwenda kwa jina la Never Let U Go aliyofanya na jamaa mmoja toka pande za bondeni anayejulikana kama C-less.Ameongeza kuwa ngoma hiyo imekuwa powerd by Ifrica Music Group(IMG).Hajatoa tarehe maalum ya kutoka kwa hyo ngoma ila amesema soon itakuwa tayari.Kaa tayari kwa ujio wa ngoma mpya toka kwa Blouder.
bonyeza hapa kupakua ngoma yake
bonyeza hapa kupakua ngoma yake


Comments
Post a Comment