HAYA NI BAADHI YA MANENO ALIYONGEA MUH(SAADAM)

JINA KAMILI ANAITWA MUHQTARY SAID ANAJULIKANA KAMA MUH(SAADAM).Amezaliwa mwaka 1990 safari yake ya muziki ilianza toka alipo kuwa primary yani mwaka 1999 anatoka katika foundation inayojulikana kama MINGI MINGI FOUNDATION.

Anafanya kazi zake chini ya jamaa anayejulikana kama SKELLETUNE amefanya ngoma kadhaa kama vile bi shost,usinipite mwokozi,okoa kipaji changu na nyingine nyingi.Pia ni mamber toka kundi linalokwenda kwa jina la FRIENDS TO TZ linaloundwa na Ijja Music,Blouder Montana pamoja na yeye mwenyewe.Anachomba toka kwa mashabiki ni kussaport mziki wake kwani kuna vingi vizuri vinakuja kutoka kwake pia ktk kundi lake.Pia kuna ngoma wanayotarajia kufanya na Rubrix kutoka Malawi inayokwenda kwa jina la WE BAD.
                                 kudownload ngoma yake bonyeza hapa
                                kusikiliza Proffesional Radio Online click here

Comments