ARTIST WA SIKU SAJENTI SAWA
JINA KAMILI ANAJULIKANA KAMA KHAMIS RAJABU ALMAARUFU KAMA SAJENTI SAWA NI UPCOMING ARTIST TOKA PANDE ZA ARUSHA NA AMEFANYA NGOMA KADHAA AMBAZO ZIMEMTAMBULISHA KIASI KATIKA ULIMWENGU MOJA YA NGOMA HIZO NI UBUSERE ALIYOIFANYA MTONI RECORDS CHINI YA PRODUCER LIZZO JAY ILIYOPO MTO WA MBU NA KUFANIKIWA KUIFANYIA VIDEO CHINI YA MTONI PRODUCTION ALIKUWA NA HAYA YA KUONGEA BAADA YA KUPIGA NAE STORY KADHAA ..............
"oya embu tuambie kidogo kuhusu wewe"said mtoni production
"Yah wananiita Hamis Rajabu ila wananijua zaidi kama Sajenti Sawa mimi ni mzawa wa Singida.Nimepanga kufanya makubwa katika tasnia hii ya bongo fleva ila sema sappot ndo hakuna.Cha kuomba kwa mashabiki ni kuusapport mziki wangu ili niweze kuyafikia malengo yangu"
kupakua ngoma yake ingia hapa

Comments
Post a Comment