MWIMBAJI SHAKIRA ATUHUMIWA KU COPY & KUPASTE WIMBO
POSTED BY Blouder Montana 
Sehemu kidogo ya wimbo wa Loca (Spanish version) kutoka kwa mwimbaji Shakira ilikuwa ni kazi ya mtungaji mwingine wa nyimbo anaitwa Ramon Arias Vazquez.
Jaji Alvin Hellerstein alisema toleo la
wimbo “Loca” la lugha ya kihispania 2010 lilikiuka haki za umiliki za
wimbo wa mwimbaji Ramon Arias Vazquez.
Wimbo huo ulikuwemo kwenye albam yake ya
mwaka 2010 ‘Sale el Sol’ na uamuzi unatarajiwa kuelekeza fidia
atakayolipwa kwa mlalamikaji

Comments
Post a Comment