Entertainment || Nicki Minaj "Anaconda" Video Yaweka Rekodi Mpya Mtandao Wa Vevo {2014}

posted by blouder montana


Usiku wa manane wa jumanne hii Nick minaji aliweza kuachia rasmi video ya wimbo wake wa Anaconda ambao ulikuwa gumzo sana kwa jinsi walivyokua wamevaa warembo walioko ndani ya video hiyo wakionekana nusu uchi wakiwa wamevalia nguo za ndani na jinsi alivyomchezesha mkali Drake katika video hiyo .
Nick minaji aliweka rekodi mpya kwenye mtandao wa VEVO ambao aliweka video hiyo kwa masaa 24 iliangaliwa na idadi ya watu milioni 19 .6 kutoka kote duniani Paka sasa imeangaliwa na watu 36,109,130 kama bado haujatizama video hiyo iko Hapa

Comments