MOJA YA COLLABO YA KIMATAIFA INAYOFANYWA NA WASANII WACHANGA KBS COMING SOON
NI NYIMBO ITAKAYO SHIRIKISHA WASANII TOKA TANZANIA AMBAO NI BLOUDER MONTANA,IJJA MUSIC PAMOJA NA SUPUN MEX NDANI YA NGOMA HIYO PIA WATAKUWEMO WASANII TOKA NJE YA TANZANIA AMBAO NI C-LESS TOKA PANDE ZA SOUTH AFRIKA AMBAYE PIA NI MMILIKI WA STUDIO INAYOITWA DE LUMINARY CUTE MOVEMENT PIA ATAKUWEMO RUBRIX TOKA MALAWI AMBAYE NI MEMBER WA HIGH POWER PIA PRODUCER WA STSTIC RECORDS,NILIPIGA NAO STORY KADHAA NILPO KUTANA NAO BOOTH NA WALIKUWA NA HAYA YA KUWAELEZA:
`cha muhimu ni sappot toka kwa wadau kwani kuna vitu vizuri zaidi vinakuja nashukuru kwa kuweza kupokea original ya hii ngoma vizuri na sasa tumeamua kufanya rmx yake naamini wadau wataipenda na kuikubali pia ndani ya hii ngoma pia angekuwepo LUCCI MO toka Ghana chini ya MILLION MILES MUSIC lkn kutokana na kuwa na project nyingi imeshindikana.Mbali na nyimbo hii pia kuna ngoma itakuja soon nimefanya na kundi moja toka South Africa linaloitwa HOOD MADE GANG nayo soon itaachiwa tunachoomba ni watanzania watupe sappot yao nasi tufikie malengo yetu``blouder montana"
`nashukuru sana sina mengi ya kuongea ila ni kwa washabiki waweze kuipokea ngoma hii vizuri kwani ni ngoma bora saaana``Ijja Music"
``Mimi kwa upande wangu naamini tunauwezo wa kufanya vitu kimataifa kama hii ilivyowezekana mfano mzuri kuna ngoma yangu nimefanya Hz BLG toka Poland inayoitwa Gun Shot n ngoma kali ila sappot bado ni ndogo ninachoomba ni wadau waweze kutusappot na kutuamini kuwa tunaweza mwisho wa siku tufikie malengo pia kuitambulisha nchi yetu kimataifa kama wanavyofanya wasanii wengine ni hayo tu"``SUPUN MEX"
KAMA ULIVYO WASIKIA HAYO NDIYO MANENO WALIYOYAZUNGUMZA WOTE WAMEKAZIA KTK KUOMBA SUPPORT KUTOKA KWA WATANZANIA KWANI TUWAAMINI KUWA NAO WANAJUA.TUONYESHE SUPPOT KWAO WAWEZE KUITANGAZA NCHI YETU PIA KUFIKIA MALENGO YAO
INGIA HAPA KUCHECK ORIGINAL YA HIYO NGOMA

Comments
Post a Comment