HUYU NDO ARTIST WA LEO

JINA KAMILI ANAITWA HIJAZ HATIBU JANGALE KABILA NIMRUGULUKUNDI ANALOTOKA NI TNG MANYANG`AU ALIKUWA NA HAYA YAKUSEMA NLIPOKUTANA NAE BOOTH ``jina kamili naitwa Hijaz Hatibu Jangale najulikana kama Ija Muzic nimeanza mziki mwaka 2009 aliyenivutia kimziki ni mjomba yangu anaejulikana kama Maddy P kwa mara ya kwanza nimeingia studio mwaka 2010 changamoto ni nyingi  mfano kuna  muda unahitajika kwenye intaview radio ata nauli unakuwa huna
cha msingi ni  nikuomba sappot kutoka kwa mashabiki.Kuna wasanii kibao ninao wakubali mfano ni G nako,Ben Paul,Ali kiba,Joh Makini kwa Kenya Boby Mapesa.
Huyu jamaa ameweza kutamba na ngoma kama listen aliyofanya na Eddy Nyota  pia amefanya ngoma inayokwenda kwa jina la KABINTI KALEKUPAKUA NGOMA YAKE INGIA HAPA

Comments