VIDEO:Taarifa
ya Habari Kutoka ITV:Watu 36 wamefariki dunia papohapo na wengine 79
kujerihiwa vibaya katika ajali mbaya ambayo imetokea saa tano JANA
asbuhi katika kijiji cha sabasaba nje kidogo ya mji wa musoma wilaya ya
butiama mkoani mara kwa kuhusisha mabasi mawili ya abiria na gari dogo
aina ya Nissani Tellono yenye namba za usajili T332 AKK.
Comments
Post a Comment