DAAAH KWELI KUNAVITU WASANII WACHANGA TOKA TANZANIA WANAFANYA AMBAVYO INAPASWA KUWAPONGEZA

Leo tupo na msanii anayejulikana kwa jina la Blouder Montana ni msanii mchanga toka pande za Arusha ni moja ya msanii ambaye anayefanya ngoma zake akishirikiana na kundi linaloundwa na kundi toka pande mbalimbali za Africa linalojulikana kama AFRICAN UNITY amefanikiwa kufanya ngoma mbalimbali na wasanii toka South Africa inayokwenda kwa jina la PROMISE aliyofanya na C LESS pia kuna ngoma kama Black Magic  aliyofanya na Bigue Map toka Malawia pia kuna ngoma itakayo dondoka soon inayokwenda kwa jina la  GOOD LIVING
aliyofanya na kundi toka Johanesburg linalokwenda kwa jina la HOOD MADE GANG
  KWA MAWASILIANO WASILIANA NAE KWA NAMBA 0762366540
                                           CLICK HERE TO DOWNLOAD HIS SONG

Comments