USIYO YAJUA KUHUSU PRODUCER MEGA TOUCH
Mega Touch ni moja kati ya maproducer wanaokuja vizuri toka pande za Mara.Amejinyakulia sifa kubwa katika utengenezaji wa nyimbo za kisasa zikiwemo pia za Asili.Anatoka katika kundi moja linalojiita Wasaka Doh..Mega Touch mbali nakuwa producer ila pia ni msanii mwenye uwezo wa kuimba kila aina ya nyimbo.
Anafanya kazi zake katika studio inayopatikana pande za Kibara-Bunda inayojulikana kama Harmony Records
Kwa maelezo ya Mega Touch ni kwamba studio yake hiyo wanafanya kazi zifuatazo Kurecord nyimbo aina zote zikiwemo qaswida na kwaya,kutengeneza posters,kushoot video za nyimbo,filamu na matukio
Wasiliana na Mega Touch kwa namba 0758857272
0625909293
E mail: Megadapix@gmail.com
kusikiliza kazi zake asili pamoja na bongofleve Ingia hap

Comments
Post a Comment