HAYA NDO MANENO YA MSANII MCHANGA TOKA A TOWN [OLLACHUGA]

Jina kamili najulikana kama Olachuga Mollel toka Arusha pande za Oldadai.Ni msanii anayefanya mziki wa hip hop anatoka crew inayojulikana kama Oldadai Crew

Comments